Dawa zetu zinatengenezwa Kwa miti, matunda na vyanzo asilia ili kufikia lengola matibabu bila Athari
Ukitumia inatibu mpaka magojwa yaliyojificha pia hunaweza kutumia kwa matumizi ya kila siku "Usipofanya chakula kuwa dawa yako, Basi Dawa zitakuwa chakula Chako"
Being natural means being real. True beauty comes from the glow of healthy skin. True health comes from natural care. True immunity comes from the body’s own strength. True comfort comes from being yourself. True power comes from inside. And everything begins with knowledge, because when you learn, you grow, and when you grow, you shine.
Matatizo mengi yamekua yakijificha katika lishe, kujiamini, matibabu na elimu. Ikiwa unajua kinachokusumbua basi utakua na pakuanzia. Vyakula Asilia ni dawa isiyo na gharama kubwa na inamfaa mtu yoyote Jijali, Mjali na Mpende mwanafamilia awe Mzazi wako, Rafiki yako, Ndugu yako au Mwanao Basi ujue anastaili kuwa Asilia.
Tumejikita katika biashara hii kwa njia ya mtandao (network marketing) mnamo mwaka 2023 na kupokea oda mtandaoni na kuogeza mawakala wa usambazaji, utengenezaji na mauzo hivyo tunauzoefu wa kimtandao wa zaidi ya miaka mitatu.
Biashara na Huduma za Utaipenda Natural Medicine ilianza mwaka 2017 rasmi ikiwa na malengo ya kuhakiisha watu wanapata bidhaa za lishe na Afya Asilia. Kutokana na changamoto mbalimbali hatukua tunazalisha bidhaa moja kwa Moja Hivyo tulikua tunapata kutoka makampuni makubwa Ambayo yamejikita katika Uzalishaji Huo hivyo tulikua kama daraja la watu Kufikia bidhaa sahihi kwa Wakati sahihi.
Mpaka Sasa pia tunasambaza baadhi ya bidhaa kutoka kampuni hizo ili Kuweza kuhakikisha bidhaa bora zinakufikia. Hivyo kama wewe ni Mzalishaji kama wa bidhaa za lishe tunakukaribisha kujumuika nasi katika Biashara Hii.
NutriProfits, ilianzishwa mwaka 2013 huko Cyprus, Hong Kong, ni chapa ya kimataifa ya afya, lishe na urembo. Inafanya kazi zaidi ya nchi 80 na washirika 200,000+, ikijulikana kwa uwazi na uhakika.
Forever Living, ilianzishwa mwaka 1978 huko Arizona, Marekani, ni kampuni ya kimataifa inayojulikana kwa bidhaa za afya na urembo zinazotokana na aloe vera na nyuki. Inafanya kazi katika zaidi ya nchi 160 na ina mamilioni ya wasambazaji duniani, ikitumia mfumo wa mauzo ya ngazi (MLM) na umiliki wa mashamba, viwanda na usambazaji wake.
LiveGood, ilianzishwa Marekani na makao yake Florida, ni kampuni ya kimataifa ya afya na lishe. Inatoa virutubisho, vyakula vya asili na bidhaa za urembo kwa bei nafuu kupitia mfumo wa uanachama na MLM, ikifanya afya bora ipatikane kwa watu duniani kote.
Infinitus, ilianzishwa mwaka 1992 nchini China, ni kampuni ya kimataifa ya afya inayotoa virutubisho vya mimea na bidhaa za tiba asilia. Inafanya kazi katika zaidi ya nchi 30 kupitia mfumo wa mauzo ya ngazi (MLM).
Tiens Group, ilianzishwa mwaka 1995 nchini China, ni kampuni ya kimataifa ya afya na lishe. Inafanya kazi katika zaidi ya nchi 190 kupitia mfumo wa mauzo ya ngazi (MLM).
BF Suma, ilianzishwa mwaka 2006 na makao yake makuu Los Angeles, Marekani, ni kampuni ya kimataifa ya afya na ustawi inayotoa virutubisho vya lishe, bidhaa za urembo na huduma za afya. Inafanya kazi katika zaidi ya nchi 30, hasa barani Afrika na Asia, kupitia mfumo wa mauzo ya ngazi (MLM), na imejijengea sifa kwa ubora wa bidhaa zake na mtandao mkubwa wa wasambazaji
Bidhaa zetu ni salama na zenye uhakika, zikisaidia afya ya mwili kwa matatizo kama shinikizo la damu, kisukari, kinga dhaifu, uzito kupita kiasi, nuru ya ngozi na uzee, nguvu za kiume na afya ya uzazi.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectuerter adipiscing elit diam, sed diam nonummy nibh euismod. Dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit diam, sed diam nonummy nibh euismod tincidunt ut laoreet dolore volutpat naomi delgado conseption guertena delbirkerin suit thelrio samdorano galactico.
Lorem ipsum dolor sit amet, consetetur sadipscing elitr, sed diam nonumy eirmod tempor invidunt ut labore et dolore magna aliquyam erat, sed diam voluptua.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit. Veritatis, dolorem!

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit. Veritatis, dolorem!

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit. Veritatis, dolorem!
Lorem ipsum dolor sit amet, consetetur sadipscing elitr, sed diam nonumy eirmod tempor invidunt ut labore et dolore magna aliquyam erat, sed diam voluptua.








Lorem ipsum dolor sit amet, consetetur sadipscing elitr, sed diam nonumy eirmod tempor invidunt ut labore et dolore magna aliquyam erat, sed diam voluptua.
Per year
Farmers
CUstomers
Wheat fields